UWEKAJI WA JIWE LA MSINGI SMIDA

Mh. Simai aweka Jiwe la Msingi la Ofisi za SMIDA ikiwa ni Shamra Shamra ya Kuadhimisha Miaka 58 ya Mapinduzi Zanzibar, Uwekaji wa Jiwe la Msingi umeshuhudiwa na Katibu Mkuu Wizara ya Biashara na Maendeleo ya Viwanda Dkt. Islam, pamoja na Mwenyekiti wa Bodi ya SMIDA Ndg. Juma Reli pia na Mkurugenzi Mkuu wa SMIDA Ndg. Soud Said Ali

UZINDUZI WA BODI YA WAKURUGENZI YA SMIDA

Mh.Omar Said Shaaban Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda akiwa katika picha ya pamoja na Katibu Mkuu wa Wizara hio, Mwenyekiti pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Wakurugenzi ya SMIDA

SMIDA Overview
The Micro, Small and Medium Industrial Development Agency (SMIDA) is a parastatal Industrial Development Agency established by the Act No. 2 of 2018. The Agency operates under the Ministry of Trade and Industries.

The Agency is mandated to advice, develop, coordinate, promote and offer every form of support to micro, small and medium industries in Zanzibar through facilitation from early stage of formalization to marketing of the product and all the way to graduation to large industry category.

Also it operate or facilitate affordable credit schemes and other financial and non-financial services through Small and Medium Industrial Development Fund (SMIDF).

Board Chairman

Director General

SMIDA None
Message From Director General